Sunday, June 8, 2008

KWANINI AMANI HAIPATIKANI SOMALIA?



MWANDISHI WA HABARI WA SOMALIA NASTEH DAMIR(36) AMBAYE ANAFANYA KAZI KAMA PART-TIME KWENYE SHIRIKA LA UTANGAZAJI LA UINGEREZA AMEUWAWA KWA KUPIGWA RISASI NJE YA NYUMBA YAKE KILIMOTA 500 KUTOKA KUSINI MWA MJI MKUU WA MOGADISHU NA WAPIGANAJI WA KIISLAMU KUSINI MWA NCHI HIYO AMEFARIKI AKIWA HOSPITALINI.

No comments: