Sunday, June 8, 2008

KAZI KWAKO KAMANDA KOVA


"SASA BONGO DAR ES SALAAM NIMEKUKABIDHI INABIDI USILALE MAANA WAHAALIFU WANABUNI MBINU MPYA KILA SIKU" BILA SHAKA UNAWEZA KUBUNI MANENO AMBAYO WALIKUWA WANAAMBIANA. KAMANDA MSTAAFU WA KANDA MAALUM MKOA WA DAR ALFRED TIBAIGANA AKITETA JAMBO NA KAMANDA MPYA WA DAR SULEIMAN KOVA.
Picha ippmedia.

No comments: