Thursday, June 12, 2008

"BIG PHIL" KOCHA WA CHELSEA


LUIZE FELIPE SCOLARI (54) ATAKUWA KOCHA MPYA WA CHELSEA KUANZIA JULAI MOSI MWAKA HUU. KWASASA NI KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA URENO AKIWA NA TIMU HIYO TANGU MWAKA 2003,IMECHEZA MECHI 72,IMESHINDA 42,IMETOA SARE 18 NA KUFUNGWA 12.

No comments: