KATIBU MKUU WA CHAMA CHA UPINZANI CHA ZIMBABWE CHA MOVEMENT FOR DEMOCRATIC CHANGE BW. TENDAI BITI AKIZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI JIJINI JOHANNESBURG,AFRIKA KUSINI. HATA HIVYO TUME YA UCHAGUZI YA NCHI HIYO INASUBIRI KAULI KUTOKA CHAMA CHA [MDC] KUHUSU KURUDIWA KWA UCHAGUZI HUO. MGOMBEA URAIS KUPITIA [ MDC ] M.TSVANGIRAI ALIYEPATA KURA 47.8% NA CHAMA TAWALA ZANU-PF CHA R.MUGABE ALIYEPATA KURA 43% KATIKA AWAMU YA KWANZA YA UCHAGUZI.
Monday, May 5, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment