Tuesday, May 6, 2008

ANACHEKAAA


KOCHA WA TIMU YA CHELSEA AVRAM GRANT AKITABASAMU BAADA YA KUICHAPA NEWCASTLE 2-0. USHINDI HUO UNAIFANYA TIMU HIYO KUWA NA POINTI SAWA NA MAN UTD. KICHEKO HICHO KITAENDELEA MPAKA MWISHO WA LIGI ?

No comments: