Thursday, May 15, 2008

KAZI IPO



ALIYEKUWA ANAGOMBANIA NAFASI YA URAIS KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC,JOHN EDWARD AMEJITOKEZA HADHARANI KATIKA JIMBO LA MICHIGAN KUMSAIDIA SEN. BARACK OBAMA KWA AJILI YA KUPATA NAFASI KUPITIA CHAMA HICHO, ANAGOMBANIA NAFASI HIYO NA SEN.HILLARY CLINTON. CHAMA CHA TAWALA REPUBLICAN TAYARI IMESHAMPATA MGOMBEA KUPITIA CHAMA HICHO AMBAYE NI SEN.JOHN MCCAIN.

No comments: