
SERIKALI YA ZIMBABWE IMETOA SIKU YA MWISHO KWA VIONGOZI WA VYAMA VYA KISIASA CHA MDC NA ZANU-PF WA KURUDIWA UCHAGUZI AMBAYO NI TAR.31 MWEZI WA JULAI MWAKA HUU. AWAMU YA KWANZA KIONGOZI WA CHAMA CHA MDC ALIMPITA RAIS MUGABE KATIKA UCHAGUZI ULIOFANYIKA TAR 29 MACHI MWAKA HUU LAKINI HAKUFIKIA ASILIMIA 50%,KAMA ANGEFIKA ASILIMIA HIZO ANGEKUWA RAIS,TUSUBIRI AWAMU YA PILI YA UCHAGUZI.
No comments:
Post a Comment