Thursday, September 17, 2009

JAJI RINGERA APINGWA



Bunge la Kenya jana limepitisha kwa mara ya kwanza mswada wa kupinga kuteuliwa kwa Mkurugenzi wa Tume ya Kupigana na Ufisadi nchini humo Bwana Aron Ringera uteuzi uliofanywa na Rais Kibaki mwishoni mwa mwezi uliopita.

1 comment:

Mzee wa Changamoto said...

Nimepita hapa kukujulia hali na kujikaribisha mtandaoni mwako.
Kimeshakuwa kijiwe na ntakuwa nikipita kukusanya hili na lile.
Karibu Changamotoni.
Kunakosemwa ukweli na kusemea wasio na sauti. Pia kuuelimisha umma kujiondoa katika UTUMWA WA KIAKILI.
PamoJAH Daima.
Blessings