Kiongozi huyu ametimiza mwaka mmoja madarakani kama Rais wa nchi kwa niaba ya wadau tunamwombea awe na afya na nguvu bila kusahau busara ili aweze kuliongoza taifa hilo kubwa kwa sasa dunia.
Ukiangalia picha hii unaweza kusema chochote???? Baada ya miaka kama 40 unaweza kutabiri jibu unalo.
Nina mnuku Mwandishi wa kitabu kiitwacho THE BIG PICTURE ,Dr.Ben Carson "PRIDE GOES BEFORE DESTRUCTION , A HAUGHTY SPIRIT BEFORE A FALL".
GOB BLESS AFRICA
GOD BLESS AMERICA
GOD BLESS THE WOLRD................
No comments:
Post a Comment