Friday, January 15, 2010
Mkosi wazidi kumwandama.
Tiger Woods amezidi kuandamwa na mikosi ambayo amejikita mwenyewe na hivi sasa kampuni ya General Motors wamemaliza mkataba nae jana na kusema hawataweza kumwongezea mkataba mwingine maana alikuwa anapewa magari na kampuni hiyo bureeeeee kama hilo hapo juu alilopata nalo ajali ni aina ya Cadillac Escalade hataweza kuisahau siku ya tar 27 Nov.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment