Monday, November 30, 2009

Historia muhimu

Rais wa FIFA akiwa ameshika mpira uliochezewa mwaka 1930 katika michuano ya kumbe la dunia na Waziri Mkuu wa Uingereza Gordon Brown akiwa na mpira uliochezwa mwaka 1966 katika michuano hiyo hiyo.
Mpira huu ambao ulichezewa katika michuano ya kombe la dunia mwaka 1974 ukiuangalia kwa makini utaona katika viwanja vya hapa nyumbani vijana wakicheza mpira "KWELI TUTAFIKA?" na mpira huu ni mgumu mno kutokana na ngozi iliyotengenezea mpira huo hata hivyo kwa wanaopenda kupiga mpira kichwa waangalie sana hua kipindi cha uzeeni wanakuwa na mushkeli kidogo kichwani hawatofautiani na mabondia......

Mpira huu ulitumika katika fainali ya kombe la dunia mwaka 2006 kati ya ITALIA na UFARANSA. Italia ni washindi wa kombe hilo kwa sasa. Jamani nina swali huu mpira uliochezewa mwaka 2006 umeshauona katika michuano ya hapa nchini??????


No comments: