Inatarajiwa kombe hili kuja katika bara letu la afrika kwa mara ya kwanza habari tena inakuja hapa nyumbani kwetu Tanzania bila shaka mashabiki wa timu za uingereza watakuwa na shauku kuuona na hivi sasa walioinyakua kombe hili msimu uliopita ni Manchester United.
No comments:
Post a Comment