MAYOR WA JIMBO LA LOS ANGELES,ANTONIO VILLARAIGOSA LOS ANGELES ANATAFUTA NJIA MBADALA YA KULIPA KIASI CHA $ 1.4 MILIONI ZOEZI YOTE YA TAMASHA PAMOJA NA MAZISHI YA MICHAEL JACKSON ALIYEFARIKI JUNI 25 MWAKA HUU.
MAYOR HUYO ALIKUWA AFRIKA KUSINI WIKI NZIMA ILIYOPITA AMESEMA JIMBO HILO LILIPOKEA WAGENI WALIOKUJA KUONA MAANDALIZI HAYO WATU 17,000.
GHARAMA HIYO NI KUTOKANA NAKULIPIA BILI ZA POLISI WALIOKUWEPO PAMOJA,TRAFIKI NA SHUGHULI ZINGINE ZILIZOWEZA KUFANIKISHA ZOEZI HILO. ASESISITIZA FAMILIA YA MAREHEMU ITAKUWA SIYO JAMBO LA BUSARA KUWATOZA...
No comments:
Post a Comment