Friday, July 3, 2009

HUYU NAE

WATU WANAOMBOLEZA YEYE ANAOMBOLEZA KIVYAKE VYAKE,AU KUNA WATANI HUKO WA KIKABILA KAMA HUKU BONGO? WENGINE WANAZIKA WENGINE WANACHEKA LAKINI UTANI WA NAMNA HIYO NOMA HAIFA NAMWOMBA MUNGU ISINITOKEE. BAHATI NZURI WATANI WANGU HAWANA TABIA HIYO TEHE TEHE TEHE UNATAKA KUWAJUA WATANI WANGU?????

No comments: