Monday, July 6, 2009

HAKUNA KUTUA ZELAYA


JESHI LILILOPINDUA SERIKALI YA MANUEL ZELAYA WAKIJIANDAA KUIZUIA NDEGE YA RAIS KATIKA UWANJA WA TONCONTIN ALIYEPINDULIWA NA JESHI HILO AKITOKEA MAREKANI. MANUEL ZELAYA ALIKUWA RAIS WA HONDURAS.

No comments: