JUZI JUZI MCHEZAJI WA GOLF NAMBA 1 KWA UBORA DUNIANI TIGER WOOD,AMESEMA RAIS OBAMA SIJUI KAMA ANA MUDA WA KUKAA OFISINI MAANA KILA MCHEZO ANAPENDA KUCHEZA KILICHO MSIBU MPAKA AKASEMA MANENO HAYO RAIS OBAMA ALIKUWA ANACHEZA GOLF WIKIENDI ILIYOPITA. HII PICHA AKIWA OFISI KWAKE ENEO LA OVAL MWANZONI MWA WIKI.
SASA RAIS MPIRA WA KIKAPU,MCHEZO WA GOLF NA MPIRA TENA WA MIGUU UPO ???
BILA SHAKA NITAKUWA NAWEKA PICHA AMBAYO NI CHAGUO LANGU KILA SIKU NIMEANZA LEO..
"TUKO PAMOJA TUTAFIKA"
Wednesday, July 15, 2009
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment