Thursday, February 26, 2009

HUU UKATILI HAUFAI

1
2
Bila shaka bibie Rihanna siyo mgeni machoni mwako kwa kupitia luninga hata magazeti hapo juu ni picha mbili tofauti ya 1. ndiyo asili ya sura yake 2. sura yake baada ya kupigwa na mpenzi wake chris brown.



No comments: