JAMANI ASIKUAMBIE MTU HIKI CHUO NI KIKUBWA MNO BILA SHAKA ITAKUWA KIKUBWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI MAANA HUWEZI KUTEMBEA KWA MIGUU KUIKAGUA HAPA SERIKALI YA TANZANIA IMECHEZA KARATA DUME,CHUO HICHI KINA UWEZO WA KUCHUKUA WANAFUNZI 40,000. KWA SASA INAYO WANAFUNZI 4000. UJENZI BADO UNAENDELEA.
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment