Saturday, October 11, 2008

MCHARUKO UMEFIKA MAHALI PAKE

MTANGAZAJI WA TBC FM MARIAM MIGOMBA AKIWA AMEPUMZIKA BAADA YA KUTOKA KWENYE KIPINDI CHA MCHARUKO.
MTANGAZAJI WA TBC FM REHEMA NYAMASAGARA AKICHONGA KAMA KAWAIDA YEYE MCHARUKO POPOTE PALE WEWE MLETEE ZA KULETA UONE. HAPO ALIKUWA ANAMPASHA MTU "SHOSTITO" "LINAUSU" MANENO HAYO.

1 comment:

Rahim R. Migomba said...

Mambo niaje Broo.

Nitakuwa sijatenda vyema nisipo kupaza man, uko JUU.

Its Me,PashalOnline
(Rahim Migomba)