Wednesday, September 24, 2008

SPORTS TEAM OF TBC FM

KUTOKA KUSHOTO EMMANUEL KAJELA AKA COMMERCIAL,EVANCE MHANDO AKA MR.NAMES UNAWEZA KUMSIKILIZA KATIKA KIPINDI CHA MICHEZO KATIKA TBC-TAIFA,NAZARETH NDEKIA AKA MR.PATAPATA NISIKILIZE KWENYE PATAPATA TIME,UMEINYAKA PAMOJA NA BUSATI,PAUL ALPHONES KWENYE BUSATI NA BADI SANGU AKA RAS MSIKILIZE KWENYE REGGAE NA BONGO HITS.
WA MWISHO KULIA NI FELIX ALTON AKA MZEE WA BARA HINDI MAMBO YA ADHUHURI MWANANA NA MUZIKI WA BARA HINDI USISITE KUMSIKILIZA MZEE WA MAKAMUZI.

DAWATI LA MICHEZO LA TBC FM

No comments: