MTANGAZAJI WA TBC FM DJARO ARUNGU AKIWACHAPA MBOKO WASIKILIZAJI KATIKA KIPINDI CHA BUNGA BONGO,UNAWEZA KUMSIKILIZA KATIKA KIPINDI KINGINE CHA LADHA ZA AFRIKA MASHARIKI. UKITAKA KUFURAHI MSIKILIZE MAANA UTASIKIA MILIO TOFAUTI KAMA HELIKOPTA,BUNDUKI IKIFYATULIWA RISASI,MTU ANACHAPWA FIMBO,MARA PAKA ANALIA HUTACHOKA KUMSIKILIZA.
Wednesday, September 24, 2008
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment