Saturday, August 9, 2008

NYOKA NI NYOKA


BECKHAM AKIWA NA MTOTO WAKE,HAYA SASA BILA UBISHI MTOTO WA NYOKA NI NYOKA,MTOTO HUYO AKIWA ANAPIGA MPIRA ULIOKUFA KAMA BABA YAKE AMBAYE NI MFALME WA KUPIGA MIPIRA ILIYOKUFA.
UMERITHI NINI KUTOKA KWA BABA YAKO AU MAMA YAKO???

No comments: