Monday, August 11, 2008

BUSH NA MWANAYE OLYMPIC 2008





MWANAYE BARBARA AKIWA NA TIMU YA WANAUME YA MPIRA WA KIKAPU,HUKU BABA YAKE AKIWA NA TIMU ZA WANAWAKE ZA VOLLEYBALL NA SOFTBALL.
MICHUANO HII IMEFANA SANA,KUTOKANA NA UFUNGUZI WAKE PAMOJA NA KUHUDHURIWA NA VIONGOZI WENGI WA NGAZI ZA JUU KUJA KUIPA CHANGA MOTO TIMU ZAO. HAPA KWETU AMEKWENDA WAZIRI WA HABARI,UTAMADUNI NA MICHEZO MH GEORGE MKUCHIKA.

No comments: