Thursday, July 10, 2008

Williams sisters won’t vote for Obama

SERENA PAMOJA NA DADA YAKE VENUS WAMEHOJIWA NA WAANDISHI WA HABARI,WAMESEMA WANAMKUBALI OBAMA LAKINI HAWATAMPIGIA KURA KUTOKANA NA MAANDIKO KATIKA BIBLIA KWA WAUMINI WA DHEHUBU LA JEHOVAH'S

SOMA YOHANA 17;14

KILA MTU ANA UHURU WA KUPIGA KURA AU LA.

No comments: