Thursday, July 31, 2008

UMAARUFU MBAYA


MCHEZA FILAMU BRUCE WILLS AKIWA NA BINTI YAKE MITAA YA LOS ANGELS ANAONEKANA AKIWAMWAGILIA MAJI GARI LA MAPAPARAZI,KWA KWELI UMAARUFU KARAHA ILA KUNA WENGINE WANAUTAKA KINAGAUBAGA.

No comments: