
JOLIE NA BRAD PITT WAMEPATA WATOTO MAPACHA WA KIUME NA WA KIKE KATIKA HOSPITALI YA TAASISI YA LENVAL HUKO NICE NCHINI UFARANSA. HIVI KARIBUNI WALIKUWA WANAGOMBEWA NA MAJARIDA HUKO MAREKANI KUPATA HAKI YA KUPIGA PICHA YA KWANZA KATIKA JARIDA LITAKALOSHINDA KWAKUTOA DAU KUBWA.
No comments:
Post a Comment