Thursday, July 17, 2008

BADO TUPO HUKU ???


AFRIKA TUFANYE NINI TUTOKE HUKU TULIPO??? SASA MGONJWA KASHIKWA HAPO KWA MFANO MJAMZITO ITAKUWAJE WAKATI ANATAKIWA KUFIKISHWA HOSPITALI NYINGINE WA UMBALI WA KILOMITA 10 NADAHANI WATASHINDA KUTWA NZIMA NJIANI.

No comments: