waziri wa fedha wa enzi hizo mh. amir jamal akiwasili bungeni ukumbi wa karimjee hall kusomba hotuba ya makadirio ya bajeti mwaka 1970/71 naona stahili hii ya kunyakua kamkoba juu na kutua na limo hadi mlangoni kameanzia mbaaaaali. mambo ya; http://issamichuzi.blogspot.com
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment