
NISHIKE NA MIMI JAMANI OBAMAA


BARACK OBAMA ANASEMA ANAELEKEZA NGUVU ZAKE KWENYE UCHAGUZI MKUU WA NCHI HIYO UTAKAOFANYIKA MIEZI 5 BAADAE NA KUPAMBANA NA JOHN McCAIN WA CHAMA CHA REPUBLICAN. OBAMA NI MMAREKANI MWEUSI WA KWANZA KUWA MGOMBEA KUFIKIA HATUA ALIYOFIKIA KUPITIA CHAMA HICHO NA HATA KWA TAIFA HILO KUWANIA MBIO ZA KUELEKEA IKULU YA MAREKANI ALMAARUFU ''WHITE HOUSE''. ANGALIA NI JINSI GANI
OBAMA ANAVYOKUBALIKA MAREKANI KWA KWELI JOHN McCAIN ANA KAZI YA ZIADA.
No comments:
Post a Comment