Thursday, June 19, 2008

UBONGO WA SHOGA

Watafiti wamechunguza ubongo wa mashoga na wasenge 90 ma wamegundua kitu fulani.
Wamekuta kuwa ubongo wa mwanaume mpenda jinsia moja ni sawa na ubongo wa mwanamke wa kawaida ambaye anampenda mwanaume.

Wanasema kuwa huyo mwanaume mwenye ubongo wa hivyo anaweza kuwa na kila kitu cha kiume, shepu ya dume, nyeti za dume, mavuzi na sauti ya dume nk. Kasoro ni muumbo wa ubongo.

Na pia wamekuta kuwa ubongo wa mwanamke mpenda jinsia moja (lesbo) ni sawa na ya mwanaume wa kawaida ambaye anampenda mwanamke. Naye anaweza kuwa na kila kitu cha kike kasoro muumbo wa ubongo. Kwa hiyo huyo mwanamke mwenye ubongo wa hivyo akimtazama mwanamke mwenzake ni sawa na mwanume kumwangalia mwanamke.

Haya! Hivi ina maana ni kweli mtu akisema kazaliwa shoga anasema ukweli kumbe?
Ukitaka kusoma ripoti nzima.
taarifa kutoka kwahttp://swahilitime.blogspot.com

No comments: