
RAIS WA KWANZA WA AFRIKA YA KUSINI NELSON MANDELA AKIWA ANAMSIKILIZA WAZIRI MKUU WA UINGEREZA GORDON BROWN. NELSON MANDELA YUPO NCHINI UINGEREZA KWA AJILI YA MAADHIMISHO YA SIKU YAKE YA KUZALIWA,MAADHIMISHO HAYO YATAFANYIKA IJUMAA YA WIKI HII.

NELSON MANDELA AKIFANYA MZAHA NA BINGWA WA ZAMANI WA NGUMI DUNIANI MUHAMMAD ALI MWAKA 2003.
No comments:
Post a Comment