
KOCHA WA ZAMANI WA TIMU YA UINGEREZA AMETEULIWA KUWA KOCHA WA TIMU YA TAIFA YA MEXICO LEO HII BAADA YA KUFUKUZWA NA MMILIKI WA TIMU YA MANCHESTER CITY BW.THAKSIN. KOCHA HUYO MWENYE UMRI WA MIAKA 60 AMEPEWA KIBARUA KUIFIKISHA TIMU HIYO KWENYE MICHUANO YA KOMBE LA DUNIA 2010 NA KUSAINI MKATABA WA MIAKA MIWILI.
No comments:
Post a Comment