Wednesday, June 4, 2008

NJOONI VIJANA


JOSE MOURINHO ANAAMINI WACHEZAJI ALIOWAFUNDISHA CHELSEA WATAMFUATA INTER MILAN. KOCHA HUYO ANA MPANGO KUMCHUKUA DIDIER DROGBA NA FRANK LAMPARD KWA HAKIKA AMEPANGA KUIVUNJA CHELSEA.

No comments: