Monday, June 9, 2008

MZEE WA VIJISENTI


WARREN EDWARD BUFFETT (78) NI MTU TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI. NI MWEKEZAJI WA KIMAREKANI,MFANYABIASHARA NA NI MTU AMBAYE ANAPENDA KUSAIDIA WATU. NI MKURUGENZAI MKUU WA KAMPUNI YAKE BERKSHIRE HATHAWAY. MNAMO MWAKA 2006 MSHAHARA WAKE WA MWAKA ULIKUWA NI $100,000 AMBAO NI MDOGO KUTOKANA NA UWADHIFA ALIOKUWA NAO KAMA MKUGENZI MKUU WA KAMPUNI. CHA KUSHANGAZA ANAKAA KATIKA NYUMBA YAKE ALIYONUNUA MWAKA 1958 KWA BEI YA $31,500. MWAKA 2006 ALITOA PATO LAKE 83% KWA TAASISI YA BILL & MELLINDA GATES FOUNDATION NA MWAKA 2007 ALITANGAZWA NI MTU KATI YA WATU 100 WALIZONAZO "VIJISENTI". UKITOA KWA MOYO UTABARIKIWA. HUYU MZEE NI TAJIRI KULIKO WOTE DUNIANI,BAADA YA KUMYANG'ANYA BILL GATES KWA KUWA KATIKA NAFASI HIYO KWA MIAKA 13.

No comments: