MCHUMBA WAKE WA SASA DARIA ZHUKOVA

ENZI HIZO AKIWA NA MKE WAKE IRINA


MWANAMUZIKI HAPO JUU AMY WINEHOUSE AMETUMBUIZA KATIKA SHEREHE ZA ROMAN MMILIKI WA TIMU YA CHELSEA JIJINI MOSCOW KWA AJILI YA KUMTAMBULISHA MCHUMBA WAKE DARIA ZHUKOVA. MWANAMUZIKI HUYO AMEPEWA £1m. VIJISENTI INAONGEA. AMY ATATUMBUIZA KWENYE SHEREHE ZA KUTUMIZA MIAKA 90 YA NELSON MANDELA JUNI 29 NCHINI UINGEREZA.
No comments:
Post a Comment