Saturday, June 28, 2008

MR. MIYAGI BIRTH DAY

PAT MORITA JINA HALISI LA MSANII HUYU ALIYEZALIWA MARAKANI KATIKA JIMBO LA CALIFORNIA MWAKA 1932 TAREHE NA MWEZI KAMA WA LEO,AMEANZA USANII WA UIGIZAJI NA KUTOA FILAMU YAKE YA KWANZA MWAKA 1967 FILAMU INAITWA Thoroughly Modern Millie. BILA SHAKA UTAKUMBUKA ALIKUWA ANAMFUNDISHA KARATE KID KAMA KOCHA WAKE WA MAFUNZO YA USANII WA KUJIAMI KWENYE FILAMU HIYO MWAKA 1994.


ENDELEA KULA CHUMVI MZEE.

No comments: