Tuesday, June 17, 2008

MKENYA AIBU


Huko Philadelphia, nesi wa kiume ambaye alikuwa anaangalia vijana wenye upungufu wa akili , alimbaka moja wao. Kijana mwenyewe ana miaka 14. Wanasema mtoto ni kipofu, na hajiwezi.Nesi ametambulika kama MKenya, Fred Magondu, 36. Kwanza nilidhani wamemsingizia lakini wana ushahidi wa DNA. Walipima shahawa zilizokuwa kwa yule kijana. Magondu mwenyewe ana mke na watoto! Jamani! Aibu kweli kwa familia yake. Habari hii kutoka;http://swahilitime.blogspot.com

No comments: