Thursday, June 12, 2008

GANJA

AFGHANISTAN HUTOA MADAWA YA KULEVYA KWA 93% DUNIANI. NCHI HIYO NDIYO INAYOONGOZA KWA KUSAMBAZA MADAYA HAYO. HAPO JUU MADAWA HAYO YAMEKAMATWA KATIKA KITONGOJI CHA KANDAHAR KUSINI WA NCHI ZENYE THAMANI YA POUND MILLIONI 200.

No comments: