
CHELSEA BAADA YA KUMFUKUZA AVRAM GRANT KATIKA MATOKEO YA MECHI KATIKA HATUA YA FAINALI KATI YA CHELSEA NA MAN UTD NA KUAMBULIA KUSHIKA NAFASI YA PILI,HABARI NYEPESI ZILIFUMUKA KUWA HUENDA MOURINHO AKARUDI KWENYE TIMU HIYO KWASASA NDOTO HIYO IMEPOTEA,RAIS WA INTERMILAN MASSIMO MORATTI AMETANGAZA KOCHA AJAE BAADA YA KUMFUKUZA ALIYEKUWA KOCHA WA TIMU HIYO ROBERTO MACCINI.
No comments:
Post a Comment