Friday, May 23, 2008

WATANZANIA WAKUELIMISHWA


SASA JAMANI TAKATAKA SIKU HIZI ZINATUPWA BARABARANI? MAENEO YA MANZESE MJINI DAR ES SALAAM. NI AIBU HASA KWA WAKAZI WA MANZESE. TUJIREKEBISHE. PICHA HII KUTOKA GLOBAL PUBLISHERS.

No comments: