
UWANJA WA LUZHNIKI STADIUM,UKIKARABATIWA KABLA YA MECHI YA HATUA YA FAINALI KLABU BINGWA YA ULAYA. HISTORIA NDIYO HIYO TIMU MBLILI KUTOKA LIGI MOJA LIGI MOJA KUCHEZA HATUA YA FSINALI YA MICHUANO HIYO. MAN UTD NA CHELSEA TAR.21 NI KITIMUTIMU KWENYE UWANJA HUO. KIKOSI CHA MAN UTD KIMESHATAJWA LAKINI CHELSEA KIMYA KULIKONI WANASEMA TBC!!!!!!. KIKOSI KAMILI CHA MAN UTD: Van der Sar, Kuszczak, Heaton; Brown, Evra, Ferdinand, Vidic, Neville, O'Shea, Pique, Silvestre, Anderson, Fletcher, Hargreaves, Carrick, Scholes, Giggs, Nani, Park, Ronaldo, Rooney, Tevez, Saha, Welbeck.
CHELSEA: tbc
CHELSEA: tbc
HABARI HIYO YA ORODHA YA WACHEZAJI IMETOLEWA NA BBC.
No comments:
Post a Comment