
THE CRANES LAZIMA WAIFUNGE TAIFA STARS 3-0 LEO. TIMU HIZO ZINAPAMBANA LEO KATIKA UWANJA NAKIVUMBO STADIUM NCHINI UGANDA. TIMU HIYO YA TAIFA YA UGANDA ILIFUNGWA NA TAIFA STARS MJINI MWANZA KATIKA UWANJA WA CCM KIRUMBA. HIVI SASA WAPO NYUMBANI.MATUMAINI YA KUCHEZA KOMBE YA MATAIFA YA AFRIKA,THE CRANES WATAKUWA NAYO ??? TUIOMBEE TIMU YETU YA TAIFA STARS ISONGE MBELE.
No comments:
Post a Comment