
HATIMAYE WAMEUKWAA UBINGWA WA LIGI KUU YA UINGEREZA KAMA ALMAARUFU PREMIER LEAGUE KATIKA MISIMU 16 WAMEUKWAA MARA 10. CHRISTIANO RONALDO ALIIFUNGIA BAO LA KWANZA MAN UTD KWA NJIA YA PENALT NA KATIKA KIPINDI CHA PILI MKONGWE RYAN GIGGS AKAFUNGA MLANGO WA BAO KWA TIMU HIYO KWA MSIMU HUU WA LIGI KUU NCINI UINGEREZA.
No comments:
Post a Comment