Thursday, May 22, 2008

KUDADADEKIII FUATA BASI


MPIRA ULIOPIGWA KUTOKA WINGA YA KULIA NA WES BROWN NA KUMKUTA CHRISTIAN RONALDO NA KUIPA MAN UTD BAO LA KWANZA. KIPA AMESHINDWA KUIFUATA BAADA YA KUZIDIWA MAARIFA NA MCHEZAJI HUYO.

No comments: