Wednesday, May 7, 2008

KAMANDA YULEEE




MGOMBEA KITI CHA URAIS KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC, SEN. BARACK OBAMA AKIWA NA MKE WAKE MICHELLE WAKIWA WANASHUKURU WANANCHI WA ENEO LA NORTH CAROLINA USIKU WA LEO KWA UCHAGUZI WA AWALI KUPITIA CHAMA HICHO, SEN. B.OBAMA AMEPATA 56% YA KURA ZA AWALI ZILIZOPIGWA DHIDI YA SEN. H.CLINTON ALIYEPATA 42%

No comments: