Saturday, May 24, 2008

CASSIUS MARCELLUS CLAY JR


ALMAARUFU MOHAMMED ALI NDIYE BONDIA ANAYE HESHIMIKA SANA DUNIA. AMEZALIWA JANUARY 17 1942 KATIKA MJI WA LOUISVILLE JIMBO LA KENTUCKY NCHINI MAREKANI.


1 comment:

Anonymous said...

jina halisi la huyu bwana ni mohamed alli. alikataa kuitwa casius clay kwa kuwa yeye si mzungu........
ni miongoni mwa waliofuata nyayo za malcom x
hivyo si almaarufu kwa jina hilo bali ni jina lake halisi alilochagua yeye!!!!!!!!
alphonce TBC-international