Wednesday, May 21, 2008

ASANTENI


BARACK OBAMA ANAKARIBIA KUWA SHUJAA KWA KUPITIA CHAMA CHA DEMOCRATIC KATIKA KURA ZA MAONI KUWA MGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA HICHO. AMESHINDA KATIKA JIMBO LA OREGON DHIDI YA HILLARY MGOMBEA MWENZA WA CHAMA HICHO NA KUWA MBELE YA WATU 100.

No comments: